𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Isaac amejam sana anauliza Rachael,yani nikukubali na nikupende hata ukiwa ball na still unaniacha unarudi kwa baby daddy wako? Rachael alimuuliza ni nini unataka Isaac? Izo akamwambia nataka tu usign documents tumalizane or else,utajua mimi ni nani.
Maskini wa Mungu Rachael alivurutwa mbio,mbaya sana,hata hakupewa chance ya kuvaa slippers na fanty. Kumbe Sharon akiwa hapo aliona,akakumbuka pia kuna wakati alishikwa na watu wakampiga vibaya sana akaamua kuja kusaidia Rachael,ju anashindwa sana hawa ni akina nani na kwa usaidizi wa Sharon,Rachael akaachiliwa. As all these is happening, Mark hayuko ako kotini na Amani hajafika bado.
Neema na Eddy waliitwa kesi yao ishaanza wajue hatima kama Eddy atawin kuachiwa mtoto ama kutaendaje.
Rachael alikuja kulilia kwa hao na wakati huo ndio Amani anafika pia.
Huku kotini,baada ya kesi kusikizwa manze koti iliamua kutoa uamuzi,ikasema mtoto kwa jina Ian atapewa Eddy Samuel,wah! Makosa sana, Neema alishtuka,mbaya mbovu,and just like that,Neema akanyang'anywa mtoto wake wah! Eddy akamwambia unaona,nilikuambia ukajiona who is laughing now? Mark pia alijam akataka kumtandika Eddy but akakumbuka ako kotini,akaacha tu.
Rachael ndio ameshindwa sana,mbona Amani warudi mapema hivi? Amani hakuambia mamake,hadi Rachael akauliza Jojo what happened? Ikabidi Jojo aambie Rachael ukweli venye Amani alifaint akafenduka after sometime.
Rachael alikuja akaambia Joseph tunaenda hosi sai sai, Amani akamuuliza unaongelea nini mum? Rachael akamwambia najua ulifaint...Amani akajua mara moja ni Jojo kamesemana,akaambia Jojo out ni nje! Jojo akamuuliza what? Amani akaamka,akamwambia nimesema utoke nje,we agreed usiambie mtu ushasema already,toka nje. Jojo akidhani ni jokes ahaa! Kalisukumwa nje mbaya mbovu.
Rachael pia akageukiwa, akamwambia mum pia na wewe ni utoke nje nataka kuwa alone. Rachael akamwambia Iam your mum. nimesema toka nje ng'ombe. Rachael pia akatupwa nje na Amani akafunga mlango. Hapo ndio Jojo akauliza Rachael,kwani shida ni nini? Rachael akaanza kulia akaambia Jojo my son is dying.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Jojo alikuja kuongea na Rachael huku chini na akaambiwa kila kitu. Joseph aliwapita tu hapo na hataki anything to do with hawa wawili.
Ona sasa Naomi anajaribu ati kumconsole Mark,hadi anaambia Mark,akubali tu..Mark akamuuliza kukubali nini sasa? Naomi akamwambia kuwa Eddy ndio atakaa na Ian. Mark aliambia Naomi najua umekua ukicelebrate downfall ya Neema.
Neema alikuja akaambia Mark,iam sorry,this is over. Mark akamuuliza unamaanisha aje? Neema akamwambia Iam sorry siezi ishi bila mtoto wangu. Hii ina maana Neema ameamua kuishi kwa Eddy for good sasa wah!
Eddy ndio amefurahi sana,ona venye anaangalia Mark akitokwa na Neema 🤣🤣🤣
Isabelle walipata news kuwa mtoto amepewa Eddy na Isabelle akaambia Sharon unaona ujinga wako sasa? Sharon akauliza ni nini tena? Isabelle akamwambia si ulienda ukatestify against Neema kotini ama ju memory ilienda hukumbuki? Sharon alimwambia zii,nakumbuka sasa,na nakumbuka kila kitu.
Huh! Eddy ashajua sasa hawa hawaendi pahali,sasa wacha Ian aulize mamake kama anamiss uncle Mark..Eddy alijam akaambia Ian enda kwa room yako sai...Ian akamwmabia nataka kukaa na mum lakini katoto kalibebwa hobelahobela hadi kwa room na kakafungiwa huko. Neema alijaribu kuzuia lajkini apigwe kofi. Eddy's true colors ndio zinaanza sasa. Neema maisha ishaanza akuwa ngumu sasa hadi Neema anawishi Mark would be here.
Jojo alikuja kuongea na Amani but Amani anamwambia tu kitu moja,nakupenda sana Jojo na hata Jayden hakufai wewe. Jojo alimwambia hii ni ngumu coz I love him but Amani anamwambia mimi nakupenda wewe na siezi ishi bila wewe. Jojo is confused sasa. Kumbe wakiongea,hapo kwa maua,huku Amani akiwa ameshika Jojo mkono,Val tena akawaona akajua baaasi akatoa simu akaanza kuwarecord.
Amani aliambia Jojo its only your love that will heal me. Amani na Jojo wakaamua kukiss,kumbe Jojo pia anampenda Amani lakini makosa ni,Val asharecord kila kitu na video akatumia watu wa NGC🤣🤣🤣
Eddy alikuja kwa room ya Neema,akamwambia my love unakaa smart sana ukilia,unaonaje unipe kamoja? Neema akampush Eddy akamwambia acha ujinga na utoke nje. Eddy sasa anataka kupewa cha lazima sasa🤣🤣🤣Hii inakaa noma sana.
Post a Comment