𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟐𝟏𝐒𝐓 𝐉𝐔𝐋𝐘 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄

 




𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 

Naomi anataka kuonana na Richard,hadi alimcall akamwambia napitia home nataka kukuona na Richard hakukataa,akamwambia ni sawa wee kuja.


Lakini cheki, Richard ashaambia Naomi akuje so Richard aliacha mlango ukiwa wazi,lakini punde si punde,wakati mlango ulibishwa,badala ya Richard kuona Naomi,alimuona nani? Alimuona Karen,hadi Richard akashindwa,akamuuliza wee I wasnt especting you kunaendaje hapa? Karen akamwambia ahaa,ni mimi ndio nimekuja so usiwe na wasiwasi. Karen alikua anajua Naomi anakuja kumuona Richard.


Kwa Mark,huzuni tu,Neema amelia kulia anaambia Mark venye Ian alikua anapenda Mark na sai amechukuliwa hajui afanye nini. Mark alijam,akatoka kuendea Ian. Rachael alijaribu kuambia Mark asiende lakini anaambia nani,Mark doesn't give a fuck about Rachael.


Rachael alirudi akaambia Neema sikiza,kitu mbaya ikifanyikia Mark in hands of your baby daddy you answer to me. Isabelle akauliza Rachael wewe na wewe unaongelea Neema aje?


Jojo na Amani ndio wanafika,na Neema akamwambia babako amechukua Ian na amesema sitawai muona tena. Amani akauliza na babake ako wapi? Akaambiwa ameenda kutafuta Eddy. Amani alitaka kufuata babake but Rachael akamwambia wee, maneno ya Eddy acha Neema ashughulikie alah. Rachael amemchukia Neema sana.



Jojo alijaribu kumcall Val but Sharon alimuongelesha vibaya sana. Kumbe Sharon na Val washapanga wanataka kudeal na Jojo na Mark vibaya sana.


Amani alikuja na mamake akamuuliza shida ni nini unact weird hivi? Rachael akamwambia wewe na wewe kuanzia leo sitaki kukuona na huyo maJojo tena..Amani akamwmabia ahaa! Sidhani kama unaeza nikataza kukaa mbali na Jojo...Rachael akajua basi,ni cha hivyo,mtajua mimi  ni kusema nini..it only needed one phone call from Rachael akacall mtu fulani akamwambia I need your help,wah! Makosa sana. Kwani huyu Rachael ni nani? 🤣🤣she is someone we wished never to know.


Huh! Kwa Richard,Naomi ndio anafika wacha amuone Karen,akamrukia akitaka kumpiga akamuuliza,so ukaacha kunyemelea bwana ya Neema sasa unataka kunyemelea bwanangu..Richard akaambia Naomi wait, mimi ni bwanako saa ngapi🤣🤣🤣🤣Naomi amesahau washadivorce but all in all chenye Karen alitaka ni Naomi ampate kwa Richard,that was all.



𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐 

Rachael si mwenye tulidhani she is,,,alimcall mtu fulani akamwambia anataka amfanyie kazi,nani mwenye aliiita? Ex husband, Isaac,makosa. Mida ya usiku, Rachael alikuja akakutana na Isaac,akamwambia sikiza Isaac,si unataka nisign documents,nataka unifanyie kitu,nataka unideletie mtu then akizikwa,nasign documents zako. Rachael anataka Isaac ampeleke Neema Sayuni.


Kumbe Mark,ashafika kwa Eddy,anamtaka Ian iwe kwa ngumu ama kwa amani and of course within minutes,Eddy alikua ashakula ngumi moja ako chini kisha Mark akakuja kumchukua Ian.


Maskini wa Mungu,kumbe Eddy huwa amejibebea gun,aliona huyu Mark amekuja sana,akachukua gun,na akamfuata kwa room yake. Neema na Jojo kitambo waseme ati wanafika wakiwa tu hapo nje walisikia sauti ya risasi,moja! Kisha wakamuona Ian na Mark wanatoka na Mark alikua na jeraha ya risasi...Eddy Samuel,kwisha maneno..


Lakini acha niwaambia chenye kilifanyika before risasi, Wakati Eddy alimuekea Mark risasi,Mark aliambia Eddy sikiza,kuna mtoto wako hapa,kama ni kuniua unataka kuniua tafadhali acha mtoto aende kwanza. Eddy akaambia Mark rudi nyuma pole pole nimalizane na wewe. Mark akaona wewe,hii ni risasi,na huyu ni mimi hapa,uniue never ever..Mark akageuka mbio akampiga Eddy mkono mbaya mbovu lakini shida ni kumbe wakati Markaligonga mkono,Eddy alikua ashapress trigger,risasi ikamuingia Mark kwa mkono,mbaya mbovu.


Mark hakuumia sana akamshika Eddy akamwambia sasa sikiza,nisiwai kuona karibu na Neema tena na kuanzia leo watoto utakua unawaonea viusasa. Thats what happened.



All in all, Mark,Ian,Neema a Jojo haoo wakaondoka. Eddy ndio haamini.


Rachael ashamake deal na Isaac, Neema amalizwe ndio asign documents.


Karen sasa ameamua kumalizana  na Naomi kwanza alimuita cuzo Job akamwambia huyu Noami ananislap kama nani,kisha kuna file alimpea Job akamwambia hii sasa ndio mwisho wa Naomi na nahakikisha she is down down kabisa.


Post a Comment

Previous Post Next Post