𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Wakati wa supper,wakiwa mezani,Eddy akaamua kuchokoza Neema,akamuuliza Neema after kuona hakuli vizuri "hunny uko sawa", Neema ju ya mtoto wake akasema tu yeah but aliboeka sana kusikia akiitwa hunny 🤣🤣🤣. Eddy aliwaambia anapanga trip ya familia poa sana,Ian akamuuliza kama uncle Mark pia atakua? Eddy akafura akamwambia huyo atakua busy na familia yake 🤣🤣🤣
Jojo na yeye,akaambia babake kesho anaenda trip na Jayden for 2 days but mamake akamwambia si kesho ni birthday yako? Jojo akamwambia yeah,hata Jayden atakua hapo...Neema hakutaka Jojo aende ju hataki kuachwa solo kwa hii nyumba na Eddy but for the first time, Eddy tukitarajia akatae,akaambia Jojo usijali,wee enda hata ukitaka uende for full week and enjoy yourself🤣🤣🤣Neema aliboeka sana but Eddy anataka wabaki na Neema peke yao.
Huh! Kwa Mark wanakula tu poa lakini Rachael alishangaa sana kuona Mark ameanza kumsmilia akajua baaasi mapenzi inarudi lakini sikiza, Rachael anadhani Mark anamsmilia yeye but Mark akiangalia Rachael anaona hivi,angalia hii picha nimeeka,hivi ndio Mark anamuona Rachael,anamuona kama Neema na ndio maana anasmile🤣🤣🤣(picha nimeeka ya kwanza),angaliabackground penye Rachael amekaa na Neema amekaa,so Mark anaona Rachael akiwa kama Neema but kuona tena ni Rachael akaboeka🤣🤣
Karen,anaambia bro wake,venye Eddy ametumia mtoto hadi Neema amerudi kwake but bro akamuuliza kisiz,uko jealosy ama? Karen akamwambia noo huyo mtu alinitesa sana na inaniuma sana nikiona he is still winning but Karen aliapa,actually huyu ni cuzo wake si bro wake. Karen aliapa akasema she won't let Eddy win na kuna kitu atafanya kusaidia Neema iwe kama apology. So Neema kuponea huu mtego wa Eddy,usaidizi ni kwa Karen tu.
Sharon,bado system ya kichwa haifanyi hadi anauliza by the way Cate alienda wapi ama alioleka na huyo boy wake Brayo? Val akaona ili maneno iishe akaambia tu mamake,yeah alioleka wakaenda kukaa mbali. Val pia aliomba ruhusa aende trip pia but babake akamwambia no way,huwezi lala nje for 2 days. Val akamwambia but dad,naeza take care of myself lakini Dancan alikataa,akamwambia period. Sharon akaambia Dancan wewe na wewe,hutaki mtoto afurahie,sasa siku mbili ni za kukazia mtoto. Sharon akaambia Val,utaenda. Dancan akaona ok haina shida, haezi taka kukosana na Sharon pia akaambia Val its ok utaenda.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amani alikuja kuongea na babake,akamuuliza kujifungia mbona but Mark akamwambia it hurts,seeing my woman leaving but Amani akamwambia sikiza mzae,Neema alienda ju hakupendi,she only love about herself and her son,not you, but ona mimi,mtoto wako na madhe tuko hapa,hutupei attention? Mark akamwambia huwezi elewa,Neema left here crying and this is my first night bila yeye hapa.
Neema aliona haezi lala kwa room peke yake huyu gaidi anaeza mkujia usiku,akaona sasa akuje kulala kwa room ya Ian. Eddy aliboeka,hadi akamuuliza wee si uko na room yako? Neema akamwambia I always sleep with my son.🤣🤣🤣
Neema analala anafikiria tu Mark hadi anaanza tu kulia. Ashaanza kumumiss already.
Jojo nako kalikuja kuchoma,kakaambia mamake,jana nimeongea na Amani na akasema Mark ako happy sana hadi anasaidiana na Rachael kupika so nikama ashamove on...Neema akawa heartbroken🤣🤣🤣
Naomi aliraukia kotini and just like that ameamua wadivorce,hadi Richard anamuuliza what really changed? Naomi akamwambia life is too short,so twende tumalize divorce niende. Richard anashtuka tu huyu ni Naomi kweli ju he didn't expect Naomi akubali haraka hivyo but hajui Naomi anafanya hivi ndio aolewe na boy wake hana habari hakuna ndoa na boy wake🤣🤣🤣
Sharon na yeye ameamua ati aende kwa Eddy kutoa Neema huko 🤣🤣 Isabelle alimwambia relax tucall Neema kwanza.
Neema washafika kotini kuandika report ya Ian's kidnapping. Punde si punde,report ikafika kuwa yule mshukiwa amejitoa uhai so kesi haiezi enda pahali. Neema aliudhika sana,ju in one way or the other,lazima Eddy ako involved kwa Ian kidnapping but shida sasa inasemekana mtekaji nyara alijigonga kwa ukuta huko jela akafa.
Hadi kesho wakuu na wajukuu...usiku mwema 👍👍❤️
Post a Comment