NOMA 11TH JULY 2025 UPDATES

 



#part1

Sanga Ako hapo akijiuliza amefanya nini, huku akikumbuka conversation yake na Debby. Vile Debby amemsho amewaaharibia kila kitu especially after Diana kufika na kuroroa kila kitu vile Sanga alitumia Liam ile text, Hadi Tracy ameanza kuona Debby kama spy. 

Turudi mansion. Latif anauliza Liam, instead ya kum-blame awaambie last time yake kupeleka Norma clinic ilikua lini 😚😜, ama amekua too busy na sarakasi zake za maharusi usiku. Liam akamwambia, don't make everything to be about me, mm nimekuja kujua Norma Ako pregnant, juzijuzi tu. Latif akamuuliza, unasema juzijuzi, vile nlikam hapa Hadi ukanipiga ngumi, ilikua juzi? Si by that time ulikua ushajua Norma is pregnant. And here you are, acting like mende, ukijaribu kublame kila mtu for your negligence. Liam akamsho, bro...chunga hiyo mdomo yako. 

Sanga n masaibu tu. Anakumbula ile time akinyonga Diana na kumwambia utajua Mimi ni babako. 

Turudi mansion, Latif amewaka. Sijui huu moto nani atazima. Latif aliambia Liam, Norma is the woman carrying ur child, damu yako, hata hujawaimpeleka kuona daktari ama mlango ya hosi tu... Mnaezakua na difference zenu, but n damu yako. Akageukia Bianca na kumuuliza, na wewe uko sure unataka kuolekea huyu mwanaume? Mwenye hata hajalu about his unborn child. He doesn't even care about your friend mwenye amekua na wewe even b4 kila mtu kwa hii mansion akujue. Uko sure unataka akuoe. Bianca, lake ni jicho tu. 


#part2

Sanga bado Ako kwenye Lindi la mawazo na flashbacks. Anakumbula akiambia Diana ni shetani amefanya amunyonge 😜🫢. Sanga kivyake, anaona Diana amemgeuka, na kumlaumu Bure.


Turudi mansion penye kumewaka. Liam anauliza Latif yeye ni nani akuje kwake na kumwongelesha venye anataka. Anaongelelea Bianca kama nani, Liam akataka kumkaba Latif koo, ikabidi Tracy atoe sauti kama mama wa nyumba. 😁 Tracy akawaambia, muache kubehave kama wamama wadigo wa ploti. Kwani Wadigo hi behave aje? 😁😁 Debby akawauliza, nyinyi mko hapa mnataka kupimana nguvu, na mwingine Ako hapo kama Reff, hamuoni Kuna mtu hapa anahitaji kupelekwa hosi? Remember Norma alifaint Jana, so ilifaa wanpeleke hosi but Hawa wako hapa ligombana na kubishana. Latif akaoffer kupeleka size yake hosi. But kumbuka upto now, bado akuna mwenye anajua kama Norma na Latif ni mandugu. Latif akaambia Debby, itabidi wameenda pamoja ndio Debby abaki na yeye Incase akue admitted. Debby hakuona ubaya, akakubali. 

Norma kusikia anafaa kupelekwa hosi, msichana aliamuka hata hungekua amekua mgonjwa mahututi. 😁🫢. Akawauliza wasee, nasikia mkigombana, what's up? Latif akamwambia relax ulikua umefaint, inafaa tukupeleke hosi, Norma akasema no way, Mimi Niko sawa na siendi mahali, kwani Dunia inaisha Leo 🤣🤣. Debby akamuuliza, unasema nini wewe, si ulikua umefaint a few minutes ago, Norma akamsho a relax, yeye Ako sawa... Ikabidi story za hosi wasare Tena. Norma akasema kitu watamsaidia nayo, ni maziwa tu 🤣. Norma kakasimama kama Gen Z na kutoka sitting room. 

Akaja room yake na kusmile akisema kama hangepull that move, Debby angewapata na angeshuku yeye na Latif, Kuna kitu kinaendelea. Kumbe Norma n kujifanya tu. Vile kalisikia Debby anakuja akileta maziwa, akaruka bed na kujifanya hajiwezi kabisaa 🤗🤗. After Debby kumpea maziwa akamuuliza, mbona amekataa wanpeleke hosi. She didn't answer.


Tracy alirudi akauliza Latif, anaplan kuwin trust yake aje after ashaproove yeye n kigeugeu. Latif akamuuliza, kigeugeu aje tena. Tracy akamsho,aache upuzi coz anajua poa anamaanisha nini. Tracy anaambia Latif alidhani yeye ni mwerevu kidogo kuliko Liam but inaonekana ni washenzi wote, coz maskirt na marinda zinawaangisha tu. Wakiona bra hivi wanapanick 🤣🤣. Akamsho, wanawake ndio watakua main reason ya downfall yao.


#Part3

Tracy akaambia Latif, mtu mwingine mwenye alikua kama nyinyi,ni Amason. Tracy akaambia Latif, acha nikupee example, unaona mwenye alijenga hii great mansion yenye mnapigania, was a great man, until he met that mchawi called Cecilia. Na si yeye peke yake, pia kwa Biblia Kuna mtu anaitwa Samson, alidarwa kidogo hivi kwa kichwa, nywele zote chini na akakosa nguvu 😹😹. So usidhani nyinyi ndio wa kwanza. 


Norma aliwaambia Debby, hadhani kama anahitaji Doc, coz amejua ti recently Ako na ball, so it's too soon to see a doctor, coz hata signs anapitia sahii, is just normal in the first trimester, so atakua ti sawa. Debby akamwambia, u need to see a doctor, hiwezijiganga ujue ukue sawa.


Tracy aliambia Latif, ajiangalie, dakika tu kidogo etekwa na msichanadogo kama Diana. Achunge sana asianze kutumiwa kama mifano in the near future kama mmoja wa wanaume waliangishwa na maskirt. Latif anajaribu kujitetea aty akuna kitu kati yake na Diana, but Tracy akamsho, mm ni mtu mzima so acha kunidanganya, unapenda huyo msichana. Na kama humpendi, mbona akakuja hapa so emotional, the last time niliona Diana hivo n time alikua anapigania Liam coz alikua anampenda....



Post a Comment

Previous Post Next Post